Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, zoezi hilo la usafi lilifanyika kuanzia eneo la Njia Panda hadi Kigogo Mwisho, ambapo waumini na wananchi mbalimbali walijumuika kusafisha mazingira huku wakionesha mshikamano na kuenzi misingi ya huduma kwa jamii inayofundishwa na Ahlul-Bayt (as).
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |






Maoni yako